Vipeperushe vinasambaa
Eti natafutwaaa
Nimepotea wiki imekataa
Ndugu amechachamaa
Wananitafutaaa
Nimepotea mwezi umekataa
Kazini sionekani
Niyupo wapi huyuu
Baba kaniulizia
Yupo wapi huyu
Mama ahisi kulia
Yupo wapi huyu
Mimi nimezama katika kina kirefu cha bahari ya mapenzi
Nimezama katika kina kirefu
Cha bahari ya mapenzi
Siyoanditi pure mwana Rajabu
Mliomukuta Tanga
Sijafanywa Msukule msipate taabu
Kuulizia waganga
Amenirudisha shule
Hesabu maungo kupanga
Penzi la wasasambule lenye protini vitamin nawanga
Aaah
Ladha yake
Si sukari
Ni vichenza na malimau
Mmecheza hake kuwa hatari
Ni chenga na mabao
Kazini sionekani
Niyupo wapi huyu
Simwoni sipatikani
Yupo wapi huyu
Baba kaniulizia
Yupo wapi huyu
Mama ahisi kulia
Yupo wapi huyu
Also Watch
Mimi nimezama katika kina kirefu
Cha bahari ya mapenzi
(Msinitafute) Nimezama (msihangaike) katika kina (salama) kirefu
Cha bahari ya mapenzi
Watch Amepotea – Mboso